Latest Posts

Photostream

Newsletter

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every month.

  • By Platinum credit
  • Posted October 14, 2018

Wafanyakazi wa Platinum Credit Ltd washiriki Rotary Dar Marathon 2018.

Rotary Dar Marathon ya mwaka huu imelenga kuboresha huduma za afya kwa kuchangia fedha za ujenzi wa kliniki katika hospitali ya CCBRT. Rotary Dar Marathon ilijumuisha kutembea kwa kilomita 5, kutembea kilomita 9, na kukimbia nusu marathon ya kilomita 21.1 km, kukimbia marathon kamili ya km 42.2, kuendesha baiskeli kwa umbali wa kilomita 21.1 na kilomita 42.2.

Wafanyakazi wa Platinum Credit walishiriki kikamilifu kwa kukimbia nusu marathon yaani kilomita 21.1 huku wengine wakitembea kilomita 9 na kilomita 5 katika Marathon hiyo iliyofanyika 14/10/2018 jijini Dar es Salaam.