Latest Posts

Photostream

Newsletter

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every month.

  • By Platinum credit
  • Posted April 24, 2018

Platnum Credit Tanzania yatoa msaada wa kisima cha maji katika shule ya msing Uhuru Mchanganyiko.

Platinum credit ltd kwa kushirikiana na Nyumbani Kwanza Media Group Ltd yatoa msaada wa kisima cha maji safi na salama katika shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko iliyoko Kigamboni Dar es salaam, hii ikiwa ni sehemu ya kurudisha shukrani katika jamii. Lengo la lkutoa msaada huu ni kuhakisha wanafunzi na walimu wa shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko wanapata huduma ya mji safi na salama nahii ni kutokan na changamoto waliyokuwa wanapta kwa muda mrefu ya kutokupata Maji safi na salama.