Latest Posts

Photostream

Newsletter

Subscribe to our newsletter for good news, sent out every month.

  • By Platinum credit
  • Posted April 24, 2018

PLATINUM CREDIT YA WEZESHA VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA MAGEREZA

Platinum credit ltd yaipatia timu ya chuo cha magereza vifaa vya michezo kama sehemu ya kuonyesha umuhimu wa michezo katika jamii inayoizunguka, vifaa hivyo vilivyojumuisha seti mbili za jezi na mipira miwili amekabidhiwa kocha wa timu hiyo Afande Edwin Masinga kwenye makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es salaaam.